• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
  • Miradi na Programu
    • Miradi iliyo kamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyochini ya Ununuzi
    • Project and Program
    • RISE - FEB- 2021
  • Utawala
    • Kurugenzi ya Huduma na Uendeshaji
    • Kurugenzi ya Barabara za Vijijini
    • Kurugenzi ya Barabara za Mijini
    • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
    • Kitengo cha Huduma za Sheria
    • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
    • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
    • Kitengo cha udhibiti Ubora na Utafiti
    • Sehemu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA)
    • Sehemu ya Utawala na Rasilimali Watu
    • Sehemu ya Mipango
    • Waratibu wa Mikoa
    • Mameneja wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu Mbalimbali
    • Majarida
    • Vipeperushi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Maktaba ya Picha
  • Manunuzi
    • Taarifa ya Manunuzi
    • Zabuni za Wazi
    • Tuzo za Zabuni
  • Mitandao ya Barabara
    • Mitandao ya Barabara za Tarura
  • Mikoa
    • Waratibu wa Mikoa
    • Mameneja wa Halmashauri

SEHEMU YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA)

Sehemu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ina lengo la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya Teknolojia ya habari na Mawasiliano kwa Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini. Sehemu hii inaongozwa na Meneja.

Majukumu ya Sehemu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

  • Kutayarisha mipango na mikakati kuhusu Teknolojia ya habari na Mawasiliano, Miongozo na taratibu kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Teknolojia na Mawasiliano.
  • Kushauri Wakala juu ya masuala yanayohusiana na sera za Teknolojia na Mawasiliano.
  • Kusimamia maendeleo ya Teknolojia na Mawasiliano na utekelezaji wake kwa ajili ya Wakala.
  • Kuziwezesha Idara katika kuendeleza na kutekeleza mipango/miradi ya Teknolojia na Mawasiliano.
  • Kuratibu utekelezaji wa usanifu na kutunza/kuiendeleza matumizi yaTovuti na utunzaji wa kumbukumbu za Wakala.
  • Kutoa na kuratibu msaada wa Teknolojia na Mawasiliano kwa maofisa wa Wakala.
  • Kutathimini, kuboresha na kusimamia Teknolojia na Mawasiliano na usimamizi wa mifumo ya TEHAMA iliyo fungwa kwa Wakala.
  • Kufanya tathimini ya mahitaji ya mafunzo juu ya usimamizi wa mifumo ya taarifa na Teknolojia na Mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo.
  • Kuhakikisha vifaa na programu vinafanya kazi wakati wote
  • Kuendeleza na kutunza Tovuti ya WAKALA.

Matangazo

  • INVITATION FOR LOGO DESIGN COMPETITION November 12, 2020
  • SHINDANO LA KUANDAA NEMBO (LOGO) YA TARURA-KISWAHILI November 12, 2020
  • WALIOITWA KWENYE USAILI KADA YA UDEREVA TARURA MKOA WA TANGA November 06, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI-KIGOMA October 30, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DARAJA LA MWASONGE KUUNGANISHA MISUNGWI NA NYAMAGANA

    February 22, 2021
  • TARURA INAVYOBORESHA MIUNDOMBINU MKOA WA RUVUMA

    February 18, 2021
  • TARURA INAVYOENDELEA KUTATUA KERO KWA WANANCHI MKOANI DODOMA

    February 03, 2021
  • TARURA WAHIMIZWA KUONGEZA KASI YA UTENDAJI KAZI

    December 17, 2020
  • Angalia zote

Video

Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Tarura Barua pepe za Watumishi

Tovuti Muhimu

  • Wakala wa Barabara
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • OR-TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wizara ya Ujenzi uchukuzi na mawasiliano
  • Utumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Baraza la Mitihani
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Instragram_tarura
  • twitter_tarura

Waliotembelea duniani

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    TANZANIA RURAL AND URBAN ROADS AGENCY (TARURA),TARURA HOUSE GOVERNMENT CITY -MTUMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 11042, DODOMA

    Simu ya mezani: 026-2963846

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ceo@tarura.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Waliotembelea

StatCounter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki @2017 TARURA. Haki zote zimehifadhiwa